nitonye
JF-Expert Member
- Dec 18, 2011
- 7,349
- 3,909
Ha ha ha raha yake uinuse ikiwa safi bhana hata kama katoka kuivaa lakini kama ni safi, zingine zinanuka mikojona mimi nilimshangaa eti akanuse sabuni
Ha ha ha raha yake uinuse ikiwa safi bhana hata kama katoka kuivaa lakini kama ni safi, zingine zinanuka mikojona mimi nilimshangaa eti akanuse sabuni
mie hanifulii kwa kweli
Waweza kufua lakini .si katika kusimamiwa...
brother hapo hajasimamiwa anampetpet yaan unafanyiwa massage wakat unafua.....
Inaonekana una sifa za wanyama nusa kwa wingi zaidi mzee.Ha ha ha raha yake uinuse ikiwa safi bhana hata kama katoka kuivaa lakini kama ni safi, zingine zinanuka mikojo