Limbwata bila shaka

raha kweli ukimsaidia mpenzi wako a.k.a mke wako
 
Sijawahi ona Upendo kama huuu.............. Ambwene Mwasongwe.
 
Sasa wakati unamtia mimba mbona hauubeba na wewe ujauzito kidogo.Kulea sharti kusaidiana sema inakutatiza jinsi alivyombeba mwanae

Haki sawa kwa wote,haya hayakuwepo zamani enzi za babu zetu but kutokana na izi technologia za wenzetu na kupenda life style za wenzetu unakuta tunasahau utamaduni wetu na mila zetu,kiukweli wametukamata sana
 
ni utumwa wa fikra na kutojiamini ndo inafanya wanaume wenzetu wawaze kuwa kusaidiana na wife ni limbwata...Basi Beckham alikuwa overdosed maana kuna wakati alikuwa anabaki kulea watoto nyumbani wakati Vickie akienda kwenye mihangaiko mingine
 
Huyu ni zoba tu huoni li suruali alilovaa.
 
Huyu mheshimiwa aliyebeba mtoto..kuna mahali alikaa kulikuwa na unyevu? naona rangi tofauti at the centre of makalio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…