miss_mbeya
JF-Expert Member
- Mar 24, 2015
- 1,072
- 1,022
Umepitwa na wakati we ndugu, Limbwata kivipi kwani ni mtoto wa kambo huyo?
Wanawake usawa hautafutwi hivi jamani
We mbeya ya wap? Hatuna kitu ka icho uku
Hapana, hakuna limbwata hapo
Mtu kwa upendo wake akiamua kumsaidia mwenzake hiyo si limbwata bwana!Waafrika mkoje?
Yani apo style ya kumbeba uyo mtoto ndo imewafanya watu waone limbwata linahusu.ila angebeba kizungu wangeona fahari.
Mapenzi bila hela yanashida sana. Hiyo yote ni kwa sababu hana kitu. Angekuwa na hela, yeye na mtoto wote wangebebwa.
Hapana, hakuna limbwata hapo
Mbona ni kawaida sana hivyo....
Mkuu kizungu wanabebaje?
Labda ungenithibitishia wewe miss-mbeyaningeamini..mana cjaona mimi- mana hata wenyeji wenyewe wa mbeya wasafwa hawana kitu iyo.Inaweza kuwa kweli wanaume wa mbeya wana mapenzi ya dhati km hivo
mkuu hebu nitafutie nyumba nataka nihamie huko aiss...