Limbwata bila shaka

Hii dhana ya limbwata inachangia unyanyasaji kwa wa mama wallahi tena
 
Yani apo style ya kumbeba uyo mtoto ndo imewafanya watu waone limbwata linahusu.ila angebeba kizungu wangeona fahari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…