Lilongwe: Watanzania Washangilia Balozi wa Tanzania kuondolewa, yadaiwa alizorotesha Mahusiano ya Ubalozi na Watanzania wenzake

Mm nilitegemea nikute yafuatayo kupitia thread hii

Hana msaada kwa watanzania mfano mtu akipata matatizo

Ushirikiano na maafisa wachin ubalozn ulikuwa hafifu

Alidumaza demokrasia na uhusiano na Malawi kwa kuingilia mambo ya ndan ya taifa Hilo

Alishindwa kushawish wawekezaj wa Malawi kuwekeza nchin Tanzania

LAKINI umezungumzia magufuli mahaera ndyo walibumba uchaguz wa 2020 lakn polepole anaingiaje hapo nchin Malawi

Siasa siyo uadui ila wewe unageuza siasa n uadui kiongoz wako wa chama kutwa yupo ikulu kuleta maridhiano lakn wewe kutwa upo kufitinisha
 
Kwamba umepita mitaani ukaona watu wako bizee wanashangilia? Haya auongo ya kikekike yanakusadia nini hasa wewe na chama chako na familia yako

USSR
Kila kitu amekalia umbea umbea tu, chuki binafsi zitakuua, unamchukia mtu hadi unatuletea matango pori
 
Mbona umechachuka ghafla kiongoz kama umewekwa ndimu

Kuwa mpole coz uongo hauna tuzo

Mimi hapa ninachopingana na wewe ni kuandika uongo wa watu kushangilia balozi kutolewa

Kama upo hapa Lilongwe sema upo sehemu gani nije nishuhudie hao watu wanaoshangilia

Hata kama haumpendi mtu jifunze kujiepusha kumsema vibaya kila wakati hata kwa kumtungia uongo.

Hivi unadhani mtu akiandika uongo kuwa kiongozi wa chama chako amefumaniwa utafurahia hilo jambo.

Siasa uchwara zisikutie upofu unaowachukia wewe kutoka moyoni hao viongozi wako ni marafiki zao wazuri kabsa na wanaongea kwa vicheko.
Kijana kuhusu mimi waulize wanaokutuma , sijawahi kutetereka kwa hoja za mtu duni kama wewe , kama unaona naandika uongo weka hapa watanzania wanaolia kwa Polepole kuondolewa Malawi .

Wewe bado sana , huwezi haya mambo , wakati wanateka watu mlichekelea basi vumilieni na haya yetu .
 
Mm nilitegemea nikute yafuatayo kupitia thread hi

Hana msaada kwa watanzania mfano mtu akipata matatizo

Ushirikiano na maafisa wachin ubalozn ulikuwa hafifu

Alidumaza demokrasia na uhusiano na Malawi kwa kuingilia mambo ya ndan ya taifa Hilo

Alishindwa kushawish wawwkezaj wa Malawi kuwekeza nchin Tanzania

LAKINI umezungumzia magufuli mahaera ndyo walibumba uvhaguz wa 2020 lakn polepole anaingiaje hapo nchin Malawi

Siasa siyo uadui ila wewe unageuza siasa n uadui kiongiz wako wa chama kutwa yupo ikulu kuleta maridhiano lakn wewe kutwa upo kifitinisha
Hawezi akayaeleza Wala kuyaandika hayo maana anajuwa ameleta Ni uzushi tu hapa unaotokana na chuki binafsi hasa baada ya kuwa aliwafunza adabu katika siasa za hapa Tanzania kutokana na kuwa na uwezo mdogo wa kujenga hoja walionao chadema
 
Hii ndio Taarifa mpya ya Sasa kutoka Nchini Malawi , Kwamba Wafanya biashara wa Kitanzania pamoja na wafanyakazi wa Kitanzania wa Taasisi na mashirika ya kimataifa walioko Malawi , jioni hii wanafanya hafla ya siri ya kusherehekea kiondolewa kwa Humphrey Polepole kwenye Ubalozi wa Tanzania nchini humo.

Inasemekana ndugu Polepole anahamishiwa Cuba .

Habari zaidi kutoka Malawi zinadokeza kwamba Tangu kuteuliwa kwa Humphrey Polepole kuwa Balozi wa Tanzania nchini Malawi uhusiano kati ya watanzania wanaoishi nchi hiyo na Ubalozi wao ulizorota ama waweza kusema ulikufa kabisa , hii ilitokana na Watanzania wa huko kukataa kuwa na balozi aina ya Polepole katika nchi ya Kidemokrasia ya Malawi .

Humphrey Polepole ambaye alikuwa Katibu wa Itikadi na uenezi wa ccm , alishirikiana na John Magufuli aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM , pamoja na Katibu wao Bashiru Ally kuhujumu demokrasia nchini Tanzania , watu hawa walitumia hela za umma kununua Wapinzani na kuiba kila Uchaguzi uliokuja mbele yao kwa kumshirikisha mshirika wao mkuu Dr Wilson Mahera aliyekuwa Tume ya Uchaguzi (Hakuna Mtanzania asiyelijua jambo hili)

Kwa kufupisha , Uteuzi wa Polepole kuwa Balozi nchini Malawi kuliwafedhehesha sana Watanzania wa Malawi jambo lililopelekea kuvunja uhusiano na Ubalozi huo na kuzorotesha shughuli nyingi .

Tunaamini sasa baada ya mamluki huyu kuondolewa mambo yatarudi kama awali

Kwa mara ya kwanza napenda kuishukuru Serikali ya Tanzania kwa kuyafanyia kazi malalamiko ya Watanzania walioko Malawi na kuchukua hatua .
Sema kikundi Cha wanaufipa ndio kimetengeneza igizo uchwaraaa.
 
Eti huyu taahira ndo mshindi wa medali ya siasa wa JF? Sijui vigezo gani vinavyotumika kumpitisha mtu kama huyu?? So disgusting
 
Inasemekana ndugu Polepole anahamishiwa Cuba .
Yaani cdm asali aliyolambishwa mbowe inawatoa akili. Mmeacha kabisa kujadili mambo ya muhimu kama vile mfumko wa bei za bidhaa, matumizi holela ya fedha za umma...sasa hivi mnajadili tu watu binafsi ambao kimsingi hawana mabadiliko yoyote kwenye nchi hii!

Duh, kazi ipo!
 
Habari yako inaleta ukakasi kidogo.

Ebu tueleze hapa,ni namna gani polepole alidhorotesha mahusiano huko malawi.
Wafanya biashara hao walikosa nini au n nini kilibadirika baada ya pole pole kufika malawi kama balozi,ambacho sasa wafanya biashara hao wanamini kitakua kimeondoka.

Tueleze kwanini wanafurahia
 
Kijana kuhusu mimi waulize wanaokutuma , sijawahi kutetereka kwa hoja za mtu duni kama wewe , kama unaona naandika uongo weka hapa watanzania wanaolia kwa Polepole kuondolewa Malawi .

Wewe bado sana , huwezi haya mambo , wakati wanateka watu mlichekelea basi vumilieni na haya yetu .
Mbona wewe hujaweka hao wanaofanya sherehe huko Malawi? Mbona umeleta hoja dhaifu bila ushahidi halafu unataka watu wakiamini? Mwongo mkubwa wewe,najuwa hii yote ni kutaka kujipooza machungu ya adabu aliyowashikisheni wakati wote wa uongozi wake ndani ya CCM
 
Mm nilitegemea nikute yafuatayo kupitia thread hii

Hana msaada kwa watanzania mfano mtu akipata matatizo

Ushirikiano na maafisa wachin ubalozn ulikuwa hafifu

Alidumaza demokrasia na uhusiano na Malawi kwa kuingilia mambo ya ndan ya taifa Hilo

Alishindwa kushawish wawekezaj wa Malawi kuwekeza nchin Tanzania

LAKINI umezungumzia magufuli mahaera ndyo walibumba uchaguz wa 2020 lakn polepole anaingiaje hapo nchin Malawi

Siasa siyo uadui ila wewe unageuza siasa n uadui kiongoz wako wa chama kutwa yupo ikulu kuleta maridhiano lakn wewe kutwa upo kufitinisha
Kama siasa si uadui muulize Polepole yale aliyoyatenda akiwa ccm ilikuwa nini ? au polepole yule na huyu ni tofauti ?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom