Asanteni wote kwa msaada wenu, nimechukuwa mawazo yenu yote na ninayafanyia kazi.
Kikubwa mimi siyo kwamba naamini katika dhehebu lakini ninatafuta msingi wa huyu mwenzangu na msingi ninaouamini ni Moroviani na kwa kuwa dini ni imani ni vema nikampeleka ninapopaamini, na pili itakapofika siku ya ndoa sitaki tena iwe shida au nihitaji kuwa na taratibu mbili tofauti za kufuata.
Asanteni sana Wapendwa katika Bwana na Mungu awabariki.