Lilikuwa yowe la mwaliko....

kweli nimeamini baada ya mungu ni mzungu cjawahi kuona mwizi anasifiwa nikikumbuka ile huzuni na huruma ya mkuu kipindi anapiga kelele za mwizi napata sana gadhabu
 
kweli nimeamini baada ya mungu ni mzungu cjawahi kuona mwizi anasifiwa nikikumbuka ile huzuni na huruma ya mkuu kipindi anapiga kelele za mwizi napata sana gadhabu
Napata shida mno kuamini zile nyuso mbili
Ya kwanza ni ile wakati wa kupokea zile ripoti na ya pili ni ile ya jana wakati wa kumpokea mzungu mwanaume bwana AKASHA
 
Watanzania wengi ni wajinga.na Magufuli anatumia ujinga wa watanzania very effective and accordingly.
 
Naona hata hao sijui waliokuwa Mawaziri wa Nishati na Madini na Makamishina na Wataalamu wengine sijui kuchunguzwa ni viini macho tu.
Ngoja niendelee kurekebisha nyavu zangu mie .
Niepuke kuwa Kenge kukimbia mvua kuingia mtoni.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12]
 
Yaani kichwa kinauma sana mkuu kuna taarifa mbili zinaniumiza hasa..huku mmoja kakubali huyu mwingine kakataa
 
Hahaaaa
Mshana hakuna kitabu chochote ambacho umewahi kuandika mkuu?
Mada zako zimepevuka kaka sijawahi kusoma nikakereka maana zinakua hata zimeambatanishwa na picha hata iwe mambo ya kufikirika maktaba yako inazo

Nimeshangaa hujaonesha hata picha ya noah ambayo ungepata,picha ya wale walioitwa wanyang'anyi namna walivyokarimiwa walipokuja nyumbani kwetu
 
Hapo sasa nazidi kukuelewa mkuu

Lakini nimepatwa na wasiwasi kama labda wanyang'anyi walitumia nguvu isiyoelezeka mf hirizi ndio maana wakapokelewa vizuri
Mshana hebu tuambie kwani wazungu hawatumii hirizi?
Mchawi pesa ndugu yangu
 
Mkuu wameonya usithubutu kutaja hayo majina mawili; Mkapa na Kikwete-watalala mbele na wewe!

LAZIMA niwataje ukweli ndiyo huo....wale ndiyo wahusika wakubwa wa wizi wa nchi hii. Tunataka wanyongwe tu ili kuua kabisa hii dhana ya wizi kwa viongozi wetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…