ARV JF-Expert Member Joined Sep 6, 2011 Posts 5,560 Reaction score 8,002 Jul 10, 2012 #1 Lilian Thuram alichezea Parma ya Italy kuanzia mwaka 1996 mpaka mwaka 2001. Alicheza mechi zaidi ya 200 na kufunga goli moja tu! Tena la kujifunga!
Lilian Thuram alichezea Parma ya Italy kuanzia mwaka 1996 mpaka mwaka 2001. Alicheza mechi zaidi ya 200 na kufunga goli moja tu! Tena la kujifunga!
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 61,995 Reaction score 75,312 Jul 11, 2012 #2 Mkuu nadhani hakuwa na bahati kbs mpaka akajifunga mwenyewe ndiyo rekodi yake.