Drama queen
Senior Member
- Apr 22, 2014
- 157
- 289
Mdada anakuta mumewe kashika cm yake hlf anam fyonza kifyonzo kirefu kweli..mmhh jamani ukweli cjapenda..mke unamsonyaje mumeo..wanatufundisha nn
Bahati mbaya sina king'amuzi cha kunionesha clouds tv. Yapo matangazo mengi kwenye tv zetu hapa nchini ambayo kwa maoni yangu hayakidhi advertising standards kulingana na tamaduni na maadili ya malezi. Huenda hilo unalozungumzia ni la aina hiyo. Watoto wakianza kumwiga huyo dada itakuwa balaa.Mdada anakuta mumewe kashika cm yake hlf anam fyonza kifyonzo kirefu kweli..mmhh jamani ukweli cjapenda..mke unamsonyaje mumeo..wanatufundisha nn