Lile Jogoo la kenya AKUKU aka AKUKU DANGE hili hapa.

Ndallo

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
7,619
4,292
Lile jogoo la kenya lililokua na wake zaidi ya 130 hili hapa!
 
hivi aliwapaje wanawake wote hao?.......sie wanawake bwana!
 
Mh!unaweza ukawa na jogoo mkubwa,mzuri,mbabe!lakini kwa bahati mbaya [hawiki(impotent) erectile disfunction)]!
 
Huo mzunguko ulikuwa vipi au alikuwa anawapitia wanne kila siku na hiyo lazima walalamike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…