Lile Jogoo la kenya AKUKU aka AKUKU DANGE hili hapa.

Ndallo

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
7,619
4,292
akuku  danger.jpg Lile jogoo la kenya lililokua na wake zaidi ya 130 hili hapa!
 
hivi aliwapaje wanawake wote hao?.......sie wanawake bwana!
 
Mh!unaweza ukawa na jogoo mkubwa,mzuri,mbabe!lakini kwa bahati mbaya [hawiki(impotent) erectile disfunction)]!
 
Huo mzunguko ulikuwa vipi au alikuwa anawapitia wanne kila siku na hiyo lazima walalamike
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom