Truth to be told, AD had a rough season due to the fact most of the times he was out due to injuries but alipiga comeback ya maana sana. Anyways NBA saa hizi ina raha watu kama kina Luka Doncic, wananipa Raha sana. Ila dogo wemby naye urefu unamsaidia design kama Hana balance hivi sijui mzito. Ila Ile game alimpiga bonge la block the greek freak ( atentokounmpo) nilicheka sana!