Pole sana mkuu.... Nilimshuhudia mzee wangu akipambana na maradhi for 5 years, naelewa ugumu wake japo kwa kutizama!!
Ila usikate tamaa ndugu, naamini unamuamini Mungu..... usimkatie tamaa kabisa, siku moja atakurejeshea tumaini ndugu