Likud Nimeokoka

Karibu nyumbani.. Mahali pekee ambapo unaweza ukatua mizigo yako ya machungu katika dunia hii ni wokovu yani ndani ya kristo. Kumkiri Yesu kama bwana ni mwanzo wa maisha mapya
Asante Mtumishi
 
Salama boss. Nipo mara moja moja. Mijadala ya hoja imepungua sana, na matusi wengine kwetu ni no go. Umewasahau October, XPaster,Max Shimba, Eyal na wengineo
Wote nawakumbuka walau mara moja moja Eiyer huwa namsoma kwenye comment ya baadhi ya nyuzi.

Hao wengine muda sana sijawasoma
 
Lete huo ushuhuda, ili tujue wakina nani uliwakosea na sehemu gani
 
Lete huo ushuhuda, ili tujue wakina nani uliwakosea na sehemu gani
Nitaleta mkuu nilikuwa busy na deliverance. Yesu amenitendea muujiza mkubwa Sana katika maisha yangu. They wanted to smoke mentue way they smoke.Kanumba.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…