Bwana Yesu apewe sifa. Leo jinai la Yesu limenitendea jambo kubwa sana katika maisha yangu. Wakuu ilikuwa si mchezo. Hapa naandika machozi yananitiririka. Ilikuwa sipo duniani. Jina la Yesu ndio limeniokoa . Aisee ndugu zanguni Yesu yupo na anaweza. Kesho nikipata nafasi nitakuja kutoa ushuhuda wangu.
Thanks a lot Jesus.
Kuanzia Leo mimi na bahari za ushirikina na uchawi ndio nimezizik rasmi...
Siamini kilichonitokea.