Liko wapi hili eneo

Salahan

JF-Expert Member
Sep 10, 2014
2,963
3,675
13423880_1699194850329688_6833394070987308786_n.jpg
 
Tandale tena hapo hawabomoi kufuli wao wanakojolea hayo matofali kisha wanayachomoa kiulaini wanaiba. Ukija asubuhi kufungua kufuli zako unakutana na maboksi matupu.
 
Huku kwetu kuna wizi wa kufuli sijui wanatengenezea nn maana wez wanaiba kufuli mpaka kero.
 
Hapo utakuta anawahi asubuhi kufungua ili msione!! Maana anafungua kufuli moja tu anachomoa lango lote
 
Kwa hali ilivyokuwa mbaya nchini na majambazi kila kona acha tu iwe ivyo maana hamna namna
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom