Likizo ya mapenzi

KIMAROO

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2012
Posts
453
Reaction score
259
eti kisa ana family conflict mchumba wangu ananiomba nimpe likizo ya kimapenzi kwanza asolve hayo matatizo then atanirudia yakiisha looh tamthilia zimewaharibu sana mabinti zetu wa kiswahili jaman... tangu lini mapenzi yakawa na likizo???
 
Anakukimbia kijanja huyo. Mtu anaekupenda atahitaji kuwa nawe muda wote na si kucreate hiyo distance.
 
Duh! Hiyo nayo mpya.But sometime people they need to be alone for a while to rethink about every.
 
Hiki ni kama kichekesho lakini huwa inatokea. Mfano mimi nimewahi kuwa na Mpenzi fulani, sometimes alikuwa ananipiga ban kulala naye especially home kwake kwa mwezi mmoja mzima au hata zaidi. Hiyo ni adhabu ati, nikimkosea ananiadhibu hivyo, utamsikia ananambia hutalala home kwangu hadi baada ya mwezi mmoja! Wanaume wengine bwana!
 
eti kisa ana family conflict mchumba wangu ananiomba nimpe likizo ya kimapenzi kwanza asolve hayo matatizo then atanirudia yakiisha looh tamthilia zimewaharibu sana mabinti zetu wa kiswahili jaman... tangu lini mapenzi yakawa na likizo???

Nilitegemea yeye ndo angekuwa karibu zaidi na wewe kwa ajili ya kumshauri kutatua hizo ulizoziita family conflicts!!! Uzungu huu na kuiga, sijui vinatupeleka wapi?!
 
muulize anataka likizo ya siku ngapi ,akikutajia zidisha mara mbili then mwambie ndio likizo uliyompa
 
ni sawa tu na mtu anaemwambia mpenzi wake eeti tupeane space kwa muda!!...unaachwa mjomba,we mwambie tu kama vipi muufunge huo ukurasa kabisa uone reaction yake!
 
Anakukimbia kijanja huyo. Mtu anaekupenda atahitaji kuwa nawe muda wote na si kucreate hiyo distance.
mie mwenyewe nishasoma alama za nyakati hakuna kitu kama hii so nimeonelea achukue hiyo likizo yake ambayo no calls no text akimaliza kama nafasi yake itakuwepo bado ataikuta akikuta imekaliwa imekula kwake
 

mie nshamchoka likizo gani hata mawasiliano hakuna
 
Nilitegemea yeye ndo angekuwa karibu zaidi na wewe kwa ajili ya kumshauri kutatua hizo ulizoziita family conflicts!!! Uzungu huu na kuiga, sijui vinatupeleka wapi?!

wanaiga sana bro hawajui kama wale wanaigiza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…