Bora hata network ipo...si kwetu hata netweki ni shidaa...
hivi ndio wapi kule?
Lugarawa, ikonda au kinyanambo, maeneo ya idetero
Tatizo langu ni hilo gari analomiliki na nyumba aliyoenda, au mizimu haitaki nyumba nzuriBora hata network ipo...si kwetu hata netweki ni shidaa...
Kama hii?View attachment 208914 au hii?View attachment 208915
Haaaaaah!!!! mshana jr, umejuaje? ulidhani umejificha Bush, hapo nimeamka nimekuja kwenu nakutafuta na tochi mchana kweupee urudishe hela za escrow. Tunaziitaji tujengee maabara. Jisalimishe fasta yasije kukukuta ya Gaddafi.