Likizo imekua kero kwa watoto wetu majumbani

Vitoto vyetu hivo,lakini watoto wa matajiri hawana muda wa kufanya hivo.
 
Umenikumbusha yaan kuna dogo alikuwa anamshikashika mbuzi mkian,alooo tulistuka dogo yupo chini kapewa teke na mbuzi,dogo anagalagala tu.NB isipite dakika 5 lazima ujue mtoto yupo eneo gani na anafanya mini WAZAZI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…