Likiondoka hili iwe funzo

fungi6

JF-Expert Member
Nov 24, 2017
292
261
Nianzie hapa na jambo ili ambalo kila Mtanzania sasa analiangalia kila mahali jambo lenyewe si lingine bali ni
SUKARI.

Nimekuja nikajiuliza maswali mengi mno kuhusiana na hi hali ukiangalia kuwa sasa watoto wapo nyumbani pia uhitaji unakua mkubwa kama sukari maana mtoto hawezi shinda nyumbani asubuhi bila kunywa chai au uji wenye sukari ndani yake.

Nikauliza mbona sukari ni za ndani ya nchi kama vile Kilombero na TPC, sasa kwanini ipande ghafla hivyo ni kutokana na ugonjwa uliopo sasa au ni kwa sababu wafanyakazi wako nyumbani hawawezi operate mitambo wakiwa nyumbani?

Kama ni kwa sababu labda wanakuwa wanapokea formula kutoka nje ya nchi na sukari inepanda bei kulingana na anga kufungwa kwa muda?

Najua sitakiwi uliza mengi, ila napo natakiwa uliza baadhi, ili nipate kujua mambo yanapo kwenda tofauti nchini kwangu.

Kwa uelewa wangu nikazani labda CocaCola ndo ingepanda bei maana kila mtu anajua kua wana deliver formula and then we mix it ili kupata CocaCola ili kuepuka kupandisha makreti kwenye ndege kutoka ughaibuni.

Kwahiyo kama ilivyo awali kwenye kichwa cha huu uzi, naomba pia wasomi wanaosoma huko vyuoni and other technical training kuwa tuwe tayari it means kuwa ikitokea janga lingine mbeleni tuwe tayari kujitegemea kwa vile vitu ambavyo ndani ya nchi ni vya msingi kama ilivyo sukari sasa. Kama ni formula inashindwa kuingizwa, tuwe nayo yetu.

Tuwe watu wa kujitegemea. Tuanze pale ili janga litakapopita and for future generation wajue hili kuwa their ancestors anga lilikua likifungwa basi kuna shida ya basic need itayumba kiukubwa.

Asante
 
Waziri wa wizara husika katangaza marufuku ya wafanya bishara kupandisha bei ya sukari na serikali imejipanga hili halitatokea...

Ila wale binadamu wabishi wanapandisha na wamepandisha tayari...



Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom