Like....

Hahahahha, sijasema unitongoze nimesema uandike POINT.

Alafu weee kama unajisikia nafuu ,maumivu yako yamehamia kwangu. Njoo unipe pole nikwachie na usia

Naelewa unapenda sana ninavyo kutongoza..
Ndo maana umenipa LIKE hahahahahha lol

Duhhhh I hope na we hujavunjika, we can't afford that.
twende upande wa pili basi.. Nimeshatangulia huko..
 
Naelewa unapenda sana ninavyo kutongoza..
Ndo maana umenipa LIKE hahahahahha lol

Duhhhh I hope na we hujavunjika, we can't afford that.
twende upande wa pili basi.. Nimeshatangulia huko..
Hehehhe nisipende kisa?

Duh , yani naona hata kuvunjika hakuoni ndani.
Nakusubiria. . . .
 
Leo bado ukarimu wa kutoa like unaendelea au ilikuwa jana tuu?
mimi nakushauri uendelee kuwa kwenye position hiyo kila siku na kila wakati as a Great thinker. :cheer2:
 
Jana alikuwa kwenye komputa ya chama cha ushirika
leo karudi kwa mchina wake
Like sahauni
Hadi masika yajayo tena
Leo bado ukarimu wa kutoa like unaendelea au ilikuwa jana tuu?
mimi nakushauri uendelee kuwa kwenye position hiyo kila siku na kila wakati as a Great thinker. :cheer2:
 
nadhani bado milango ipo wazi kwa hizo "like" coz bado uzi unatembea tu tene ukizingatia bado upo macho....
haya nipe "like " yangu fasta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…