Like it or not, EL is not an average fighter..!! he is on track for 2015 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Like it or not, EL is not an average fighter..!! he is on track for 2015

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Jay One, Jun 8, 2011.

 1. Jay One

  Jay One JF-Expert Member

  #1
  Jun 8, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 11,084
  Likes Received: 4,667
  Trophy Points: 280
  He is so powerful, well connected, collected, he knows his targets, his enemies, timing well for presidential candidate to be thru CCM, i see him from a distance kashajipanga vizuri, wabaya wake wote inside CCM kawatupia CCJ hawana sifa tena, wapo kimya, wakijua ni uhaini kuanzisha chama wakiwa bado ndani ya chama cha CCM, so kawapiga kisawasawa, kuhusu kujivua gamba wote sasa CCM akiwepo Mukama wamepinga hadharani hawataondoka na wapo kimya, Nape still alikuwa na nepi ya utoto hakumjua EL, sasa anamjua. Mmmhh..EL is not
  an average fighter, nimekukubali.....
  Outside CCM, wengi oppositon party leaders wanamtumikia kwa kujua/ kutokujua, kuhusu ufisadi najua wote tutasema EL ndie mwenye kashfa ya Richmond na hata kuachia ngazi ya u PM, but legally ni ngumu kudhibitisha, tuache maneno ya mitaani, sichelei kusema leo hata Mwanahalisi lipo mfukoni mwa EL, wanamsupport softly, aisee EL is not an average fighter ni Morani kweli
  Tukubali wote kabla ya Richmond je EL alisha kutwa na kashfa nyingine ya rushwa? Jibu ni No... Na alikuwa mtendaji mzuri mno, mchapakazi fasta, wafanyakazi serikalini hasa mawaziri, makatibu, etc walikuwa wanafuata maelekezo yake ole wa mtu asifanye while he was a PM,
  Mm leo hii namuona as a REALLY VIABLE presidential candidate 2015, na katiba inamruhusu, na mm namkubali from today onwards, i have tangible, visible reasons kumsupport, Urais atauweza sawia, na kasema wazi ana nia, haki na sifa kama mtu yeyote yule, EL is not an average fighter for ur infos
  EL ni kama Zuma, narudia kura yangu na ndugu zangu anayo tayari akigombea, don't tell me CDM i looked deep, deep within, this was my analysis, EL si mswahili within 5 yrs utaweza shangaa maendeleo akipata urais, i know mtasema naota, i am awake, watch hii match hadi 2013 utaona EL ndiye Rais mtarajiwa, huamini, match inaendelea, EL go, gooo,
   
 2. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #2
  Jun 8, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,014
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Maji?
  AICC?
   
 3. Jay One

  Jay One JF-Expert Member

  #3
  Jun 8, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 11,084
  Likes Received: 4,667
  Trophy Points: 280
  Nasema no one is clean 100%, sasa subiri atakavyo spin
  utasikia wazee wote wa CCM wanasema anafaaaaa, huyu ndiye mgombea na atashinda, wait, najua huamini, kwa siasa za hapa TZ, he is a master, sterling, kama ni footballer utasema messy, kungfu basi Bruslee, the guy is not an average fighter nimekwambia
   
 4. GodfreyTajiri

  GodfreyTajiri JF-Expert Member

  #4
  Jun 8, 2011
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 846
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 60
  umesahau hata jf mpo mnaomtumikia kwa kujua/kutokujua. kweli el ni morani aisee! lol
   
 5. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #5
  Jun 8, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0

  Ndo wewe juzijuzi umeandika eti marafiki zako ma DC hawafanyi kazi toka EL aache U PM.

  EL hapati urais Magamba wakimuweka huyo hiyo itakuwa zawadi ya kuipa CDM ushinditena wa mapema na kwa bei chee.

  Ukishakuwa waziri mkuu unatakiwa kuwa na uwezo wa kugombea ubunge shemu yeyote na kukubalika .Ukimuweka EL, PINda na hata Zitto kabwe , Slaa kwenye majimbo mengi ya ubunge EL atakuwa wa mwisho.
   
Loading...