Kuanzia saa hz najiuzuru upande mnaomzingua dogo ili nimuunge mkono dogo,,,haiwezekani jamii folium tusiuze sura sisi wapenda kuuza sura yan jamii folium bila kuuza sura tunakuwa kama makalai tu na naona kabisa jamii folium photo imeshapoteza dira na sisi tunataka kuirudisha hadhi Yake kama zamani