Nyankore
Senior Member
- Jun 24, 2014
- 131
- 68
Habari wanajamvi,
Leo nimefuatilia sakata la kuvamiwa na kisha kuchomwa na vitu vyenye ncha kali kwa kijana Deo kutoka Kigoma ambaye hapo awali alionesha kuwaunga mkono ACT kabla ya kugundua mabaya wanayoyatenda. Kijana huyu baada ya kung'amua, ikambidi atengane nao hivyo kurudi kundini kwenye Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Cha kushangaza kundi la maharamia kutoka ACT lilimvamia na kumjeruhi, lakini wakati juhudi za kuokoa maisha yake alipelekwa katika Hospitali ya Rufaa ya Maweni kwa matibabu. Taarifa za kiinterejensia zinabaini kuwa hapo maweni kuna ndugu yake Zitto ambaye alipewa kazi ya kumaliza uhai wa kijana Deo. Baada ya wapenda amani kushtukia wameamua kumuhamisha na kwa sasa anatibiwa katika hospitali nyingine.
Hiyo ni part ya kwanza inayoonesha mandhari ya LIKE FATHER LIKE SON! LIKE CCM LIKE ACT.
Picha linaendelea katika kuhakikisha ACT inakubalika Kanda ya Magharibi kama walivyojinasibu wajumbe fake wa mkutano mkuu wakiongozwa na Athuman Barozi huku nyuma yake akifuatiwa na Halima Katundu, Jorum Mbogo na Hussein Kundecha. Huku mjumbe Kansa Mbaruku wakijificha nyuma ya pazia ili jamii isimgundue kama na yeye ni mmoja wa wafuasi wa ACT huku akiwa ni Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Tabora na kibaraka mkubwa wa ZZK.
Katika hali ya kutimiza ufanano wa Mzazi na Mtoto wake; kwa sasa wamekuja na style ya Mh. Werema almaarufu MWIZI dhidi ya Mh. Kafulila almaarufu TUMBIRI. Maazimio ya wajumbe waliotoka Tabora kwenda kwenye mkutano wa ACT uliofanyika mafichoni huko jijini Dar es Salaam na hatimae kuibuka na Tamko lao na kisha kumalizia mbinu zao chafu kwa msajili kwa kile walichookiita tuhuma dhidi ya Mh. Mbowe na Dr. Slaa.
Maazimio waliyokuja nayo hawa ndugu ni kuwashughulikia kwa ama kuwateka au kuwajeruhi wale walioowaita ni mwiba kwa harakati za kuieneza ACT mkoani Tabora, Kigoma na Katavi. Kwa Kigoma kazi imeshaanza lakini kwa Tabora imekuwa ngumu kwa sababu waliwabaini katika uharamia huo ni watu watatu ambao ni Mratibu wa Kanda ya Magharibi Mr. Nyamwanji, Mwenyekiti wa BAVICHA wilaya ya Tabora Ndugu Saimon na Katibu muenezi wa wilaya Ndugu Ally Ilosy. Hapa nasema wamebugi kwani kwa sasa wanaCHADEMA tupo wengi ambao tuna ajira zetu na hatutegemea kukaa vijiweni bila kazi kama Athumani Barozi, Halima Katundu, Jorum Mbogo, Hussein Kundecha na Kansa Mbaruku ambao kwa sasa wameonekana mitaani wakitembeza nguo na marembo ya akina mama kwa mtaji waliopatiwa na Mwigamba na timu yake.
Mwisho niwatakie uenezaji wa chama chao cha ACT kwa njia ya amani na si kama walivyokusudia kwani hata sisi tunajua kutumia mapanga na dhana nyingine ATHUMAN Barozi asidhani uzoefu wake wa kushika mapanga katika bucha za nyama basi anaweza kuutumia katika kutoa uhai wa wapigania haki.
Part ya pili ya inayoonesha mandhari ya LIKE FATHER LIKE SON! LIKE CCM LIKE ACT.
Wadau bado naendelea kumimina uhusiano uliopo kati ya CCM na ACT wakiwa mmoja (CCM) ni Baba na wa Pili (ACT) ni Mtoto.
Kwa makini ninafuatilia NYOTA iliyopo kwenye kofia ya Mwigulu Nchemba aliyoipata baada ya kufuzu mbinu za kigaidi za kupanga njama za utekaji na kulipua mabomu kwenye mikutano ya CHADEMA. NYOTA hiyo ndiyo imekuwa alama ya ACT kuashiria kuwa Mtoto anafuata nyendo zote za Baba. Hivyo tutegemee ongezeko la kutekwa kwa WANACHADEMA kwani mtoto wa nyoka ni nyoka. Hivyo mbinu zote za kuteka, kutesa na hata kulipua mabomu zilizokuwa zinafanywa na KUBWA LA MAGAIDI MWIGULU SAVIMBI CHEMBA LA CHOO sasa zitafanywa na ACT chini ya uangalizi wa Mwigamba na wenzake.