Weston Songoro
JF-Expert Member
- Feb 17, 2014
- 2,793
- 1,086
Chadema imehama kwenye reli, badala ya kupinga chama tawala wenyewe wanaipinga act...kiukweli act imewashika sehemu nyeti
hata mie nimeliona hilo aiseee! Hadi huruma
Chadema imehama kwenye reli, badala ya kupinga chama tawala wenyewe wanaipinga act...kiukweli act imewashika sehemu nyeti
Kama ulifikiri Nyoka aweza zaa samaki ulijidanganya! Biyolojia na saikolojia sinasema nyoka atazaa nyoka na samaki atazaa samaki!
Hawa ACT ni watu hatari kwa taifa hili
Ni aina fulani ya chama cha kigaidi
kwa vile unasema kuwa ACT ni magaidi na kwa vile wametoka kwenye chama cha kigaidi (chadema) basi na chadema ni magaidi
Chadema imehama kwenye reli, badala ya kupinga chama tawala wenyewe wanaipinga act...kiukweli act imewashika sehemu nyeti
Yaani nyinyi vijana wa bavicha hamuishi kukimbizana na vivuli vyenu