Lijue bati la mgongo midogo kabla hujalinunua!!

JMK ROYAL SERVICES

JF-Expert Member
Jun 8, 2016
226
83
Corrugated(bati la migongo midogo)
Hili bati lipo la aina mbili hapa kwetu Tanzania

1.corrugated(silver) haya ndo mabati ya kwanza miaka mingi sana yametumika hapa kwetu,mengi mpka leo mikoa mingi ndo yanatumika,faida yake huwa nd bati la bei rahisi,ila linashika kutu in long term life,kama tunapita huwa tunayaona na wengi tumekulia katika paa la hivyo,ingwa siku hizi watu wanapand juu wanayapaka rangi.mara nyingi yanauzwa kwa bundle ,yalikuwa na urefu wa 3m au 10ft mpka leo hayakatwi kutokana na vipimo vya mteja.
c9478f26ea634d93fbe6d51920f05ee5.jpg


2.Aina ya pili ni corrugated(colorfull)migongo midogo ya rangi
Baada ya bati la msouth kuja na coil zenye rangi,na watu wengi tumeyazoea haya,ndio walioangalia fursa,wakaangalia mapungu ya yale ya silver wakaamua kuingiza coil zenye rangi na kuanza kuzalisha migongo midogo ya rangi kwa material yale yale,rangi zile zile,na ubora ule ule,pia yataeza uzwa kwa bundle ila viwanda vinavyojali wateja litakatwa kwa vipimo vya mteja.
2ec7dd8952540af87653fb1d3eaf8ad2.jpg


Call /whatsapp
0656-816616

Mabati migongo midogo(corrugated)upaa wa 90cm ya rangi
gauge 26 ni 12,114,
gauge28 ni 9500/meter na gauge30 ni 8500/meter
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom