Lijenje yupo wapi.

othuman dan fodio

JF-Expert Member
Jan 2, 2018
5,671
9,058
Wkt wa kesi ya ugaidi ya mbowe huyu mwamba alitajwa tajwa sn na mpaka hash tag zikaanzishwa za bring back our lijenje.

Lkn Sasa naona kimya tena huyu mwamba ameshasahaulika.

Lijenje yupo wapi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom