Ligwaride mara tatu kama dozi ya panadoli kama sio Asprini

acha zako wewe
ndo umdandie na kumsugua mwenzako km unasugua sufuria yahusu?
yaan uyo mwanaume hana huruma ...manake ata akiambiwa anaumia yeye walahaon yeye ANAJALI STAREHE ZAKE TU BILA KUJUA UCHUNGU NA MAUMIVU YA MWENZAKE
ahhh ayo si mapenz bwna ebu amwambie mumewe ...sasa anaenjoy nin apo?dah ata km ndoa si kiivo....dah apana

Mwanamke so mbunifu huyo! mbona wanawake wa Tanga wanayaweza mpaka mwanamme anakimbia yeye? Ndo matatizo ya kulala kama gogo hayo......inatakiwa naye azungushe kiuno kama pia aone kama jamaa hatawatoa wareno fasta af akajilalia kivyake.
 
huyo ni mke wake lazima apewe haki yake ila cha msingi waelewane jinsi ya kufanya inaonekana huyo jamaa hata hana kazi ya kufanya kazi ni hiyo tu !
hii si ipo kwenye Job description ya mume? au?
 
acha uchonganish bwana
...nkiachika ntakuja kwako...
salam lakin?
on your way to Dom, pitia kwangu........Im sure utaachika na utaenda kwa Pope.
Angalao upite kwangu, mi shemejio nikufute machozi na nifanye utaratibu wa UKOO na yatokanayo.
 
Mwambie avumilie tu Ndoa ina shida na raha kwa sasa mwanaume ndo anapata raha yeye anapata karaha.

Kama ameshindwa kuhimili mikimiki amruhusu mwanaume atafuta nyumba ndogo awe anapoozea kwanza huko

Fidel80, unasema avumilie kweli unajua shughli yake? mara 3 kwa usiku, kila siku! atakufa mtu hapo.
 
on your way to Dom, pitia kwangu........Im sure utaachika na utaenda kwa Pope.
Angalao upite kwangu, mi shemejio nikufute machozi na nifanye utaratibu wa UKOO na yatokanayo.

:doh::doh::doh::doh:.....hii kauli ikitoka kwa digidigi sina hofu...ila ikitoka kwa mwenye kipawa cha kuvunja nguvu za giza... :doh::doh::doh::doh::doh:
 
Mwanamke so mbunifu huyo! mbona wanawake wa Tanga wanayaweza mpaka mwanamme anakimbia yeye? Ndo matatizo ya kulala kama gogo hayo......inatakiwa naye azungushe kiuno kama pia aone kama jamaa hatawatoa wareno fasta af akajilalia kivyake.

kwani anapotaka mara 3 hao wareno wanakuwa hawajatoka hizo mara 2? tena akiwafanya watoke fasta si ndo anakuwa hajachoka kabisa na kutaka tena? huyo ni kumyima tu kama hujisikii
 
Ye alidhani kwenye ndoa anaenda kucheza rede??
Hiyo ndio kazi ya ndoa
Habari za masiku wanaJF wenzangu! Nashukuru mola tumeamka salama salmin....
Kama ilivyo ada kwa Mama kubwa kusakanya ushauri huku na kule pale anapofwatwa na jamii inayomzunguka. Pindi niliporudi safari akaja mwanadada mtanashati kwangu akiomba ushauri afanye nini maana anaona maji yamezidi unga. Mwanadada huyu ameolewa yapata miaka mitatu hivi iliyopita na wamejaaliwa kupata mtoto mmoja anasema walipofunga ndoa walikuwa wanakutana kimwili na mumewe mara tatu kwa wiki...baada tu ya kujifungua mume anataka ligwaride mara tatu kwa usiku yaani kama dozi ya panadoli kama sio Asprini. Anaomba ushauri afanye nini maana wakati mwingine inamlazimu kwenda haja ndogo kwanye ndoo ya maji kupooza huko maana ni hakufai jamaa amemsugua hasa. Nawaombeni tumshauri huyu mama afanyenini kwani ndo ipo mashakani na akikataa kipondo kinafuata
 
kwani anapotaka mara 3 hao wareno wanakuwa hawajatoka hizo mara 2? tena akiwafanya watoke fasta si ndo anakuwa hajachoka kabisa na kutaka tena? huyo ni kumyima tu kama hujisikii

FP...hivi optimum ni mara ngapi kwa siku...from uzoefu wako..
 
Atakuomba idhini yako akapunguze munkari kwa hausgeli wenu, je utamruhusu?
kwani anapotaka mara 3 hao wareno wanakuwa hawajatoka hizo mara 2? tena akiwafanya watoke fasta si ndo anakuwa hajachoka kabisa na kutaka tena? huyo ni kumyima tu kama hujisikii
 
on your way to Dom, pitia kwangu........Im sure utaachika na utaenda kwa Pope.
Angalao upite kwangu, mi shemejio nikufute machozi na nifanye utaratibu wa UKOO na yatokanayo.

dah hahhahha hahha ...punguza saut asiskie.....poooooooooa ntaptia ..ukooo muimu kwa afya ya VIUNGO VYA MWILI.
 
Fidel80, unasema avumilie kweli unajua shughli yake? mara 3 kwa usiku, kila siku! atakufa mtu hapo.

unajua inawezekana kabisa ikawa mara 3 kwa siku lakini ile shughuli yenyewe ikawa sio nzito kama unavyofikiria!inawezekana jamaa kila mara mtarimbo unaposimama anataka kuchomeka!kumbe wakati mwingine mtarimbo ukikasirika we unaupotezea tu na punde unasinyaa kama kawaida!lakini ukifata matakwa yake unaweza piga hata mara 10 kwa siku!
 
:doh::doh::doh::doh:.....hii kauli ikitoka kwa digidigi sina hofu...ila ikitoka kwa mwenye kipawa cha kuvunja nguvu za giza... :doh::doh::doh::doh::doh:

kuwa na aman
mfadhili hanaga madhara kwa bnadamu eva
naenda tu patiwa ukoo then mim ni wako forever n ever!!!!!
 
Back
Top Bottom