Ligwaride mara tatu kama dozi ya panadoli kama sio Asprini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ligwaride mara tatu kama dozi ya panadoli kama sio Asprini

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mama Big, Nov 15, 2010.

 1. M

  Mama Big JF-Expert Member

  #1
  Nov 15, 2010
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 488
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Habari za masiku wanaJF wenzangu! Nashukuru mola tumeamka salama salmin....
  Kama ilivyo ada kwa Mama kubwa kusakanya ushauri huku na kule pale anapofwatwa na jamii inayomzunguka. Pindi niliporudi safari akaja mwanadada mtanashati kwangu akiomba ushauri afanye nini maana anaona maji yamezidi unga. Mwanadada huyu ameolewa yapata miaka mitatu hivi iliyopita na wamejaaliwa kupata mtoto mmoja anasema walipofunga ndoa walikuwa wanakutana kimwili na mumewe mara tatu kwa wiki...baada tu ya kujifungua mume anataka ligwaride mara tatu kwa usiku yaani kama dozi ya panadoli kama sio Asprini. Anaomba ushauri afanye nini maana wakati mwingine inamlazimu kwenda haja ndogo kwanye ndoo ya maji kupooza huko maana ni hakufai jamaa amemsugua hasa. Nawaombeni tumshauri huyu mama afanyenini kwani ndo ipo mashakani na akikataa kipondo kinafuata
   
 2. F

  Ferds JF-Expert Member

  #2
  Nov 15, 2010
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 1,267
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Mtaka cha uvunguni shart ainame, sasa akiinama hadi mgongo umuume shauri yake, swali langu ni kuwa, huyo mumewe haendi kazini kwani mpaka ampe dozi kutwa mara tatu?
   
 3. M

  Mkorintho JF-Expert Member

  #3
  Nov 15, 2010
  Joined: Feb 17, 2009
  Messages: 353
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Doh, kipondo tena! Na hapo sio kwamba kanyimwa kabisa, ila inakuwa kabaniwa nyongeza tu, sa' asipopewa kabisa inakuaje!
   
 4. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #4
  Nov 15, 2010
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Shared joy is a double joy; shared sorrow is half a sorrow
   
 5. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #5
  Nov 15, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Mwambie avumilie tu Ndoa ina shida na raha kwa sasa mwanaume ndo anapata raha yeye anapata karaha.

  Kama ameshindwa kuhimili mikimiki amruhusu mwanaume atafuta nyumba ndogo awe anapoozea kwanza huko
   
 6. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #6
  Nov 15, 2010
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 253
  Trophy Points: 160
  Mwambie avumilie ndoa ndo hiyo na ukubwa ndo huo.
   
 7. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #7
  Nov 15, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Pole zake akae chini na mmewe waliongee hili swala ,kila jambo na kiasi ukizidisha sana ni matatizo
  Mbona jamaa anakula kama mchwa vile ?
   
 8. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #8
  Nov 15, 2010
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Hii ndo inatakiwa yaani hapo mwanamke kutokana na mapigo anayopewa hawezi kuwa na hamu ya kutoka out na majamaa mengine
  Hii poa sana
  simika musisi...................
   
 9. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #9
  Nov 15, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Hivi wanatokaga nje kutafuta mizizi eeh??!!
  na wanaume wanatoka nje kutafuta nini vile?!!
   
 10. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #10
  Nov 15, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Is that devils' work as well? Because I want to rebuke it in the name of our Lord JC.
   
 11. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #11
  Nov 15, 2010
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135

  Hiyo ndo heshima ya ndoa bana!wanawake acheni kulalamika bila msingi wowote!mkiguswa kishkaji huwa mnalialia, ooooh jamaa anajijali yeye tu, akimaliza tu ananigeuzia mgongo/mbinafsi!ukipata njemba inakusugua kisawasawa napo bado mnalalamika!sasa tuwaeleweje??????
   
 12. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #12
  Nov 15, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Kwani BIG umeacha kutumia MKUYATI?
   
 13. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #13
  Nov 15, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  :doh::doh::doh::tape::tape::tape:

  Una kesi jana ndio ukafanya nini?
   
 14. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #14
  Nov 15, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Natumia UKOO.:smile::smile:
   
 15. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #15
  Nov 15, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  I am watching.
   
 16. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #16
  Nov 15, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  acha zako wewe
  ndo umdandie na kumsugua mwenzako km unasugua sufuria yahusu?
  yaan uyo mwanaume hana huruma ...manake ata akiambiwa anaumia yeye walahaon yeye ANAJALI STAREHE ZAKE TU BILA KUJUA UCHUNGU NA MAUMIVU YA MWENZAKE
  ahhh ayo si mapenz bwna ebu amwambie mumewe ...sasa anaenjoy nin apo?dah ata km ndoa si kiivo....dah apana
   
 17. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #17
  Nov 15, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  mmh ukoo haufai uo...utamtoboa mtu utumbo!!!!!!!!!
   
 18. RR

  RR JF-Expert Member

  #18
  Nov 15, 2010
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,717
  Likes Received: 204
  Trophy Points: 160
  :clap2::clap2:
   
 19. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #19
  Nov 15, 2010
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  mmmmmh!utumbo tena????ina maana kama mtu unaenda banda la uani au???
   
 20. bucho

  bucho JF-Expert Member

  #20
  Nov 15, 2010
  Joined: Jul 13, 2010
  Messages: 4,540
  Likes Received: 422
  Trophy Points: 180
  ana bahati huyo angekuja huku angelambwa 6
   
Loading...