Ligii kuu Tanzania Bara: Namungo FC 1-1 Yanga SC

Kuna mtu alisema kuna watu wameanza form one hadi wanamaliza form 4 hawajawahi kuisikia yanga ikichukua ubingwa.
Na kuna hati hati wakaanza form V na VI bila kushuhudia yanga ikipata ubingwa.
Sio ajabu,mikia mshakaa miaka 5 bila ubingwa,so kuna watu walianza form 1 hadi 5 bila kolo kuwa bingwa
 
Hii ndio Yanga ninayoifahamu Mimi.
Ishakata pumzi mapema kabisa.
Na bado kidogo tu.
Malalamiko kwa TFF yataanza rasmi.
Nipo hapa napata Castre Light kwa tabasamu tele.
Moto wa Simba ndio kwanza unaanza kuwaka.
.
IMG-20211120-WA0008.jpg


Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Hatukatai kuna penalty zinaweza kuwa sio halali na ili kung'amua hilo utahitaji kuangalia marudio hata mara tatu kujua kwamba mchezaji kadanganya hapa namuongelea mchezaji pro kama BENARD MORRISON na huwezi kumlaumu refa sababu ni binadam pia na hapati faida ya marejeo ya picha kama wewe unaye angalia kwenye Tv, lakini ile ya jana tuwe wakweli ilikua ni ya mchongo na mbaya zaidi Fei toto halina akili wala halijui kudanganya ni kama aliambiwa tu adondoke kwenye boksi refa afunike ..
 
Miaka yote uwa inatokea kuanzia round kolo wakianza fitna,msimu huu kuanzia match ya kwanza kolo mmeanza kulalamika,then ndio mmeanza yale machezo mapema but this time Yanga ina watu kweli kweli mje na ndani ya uwanja
Kweli kabisa kama mbeleko za jana lazima uchukue ubingwa mwaka huu
 
Back
Top Bottom