Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 37,884
- 79,586
Yeah ,anahitaji pongezi za wazi kabisa huyu jamaa ,mwenye picha yake atuwekeeKabisa, hii ni motivation pia.
Yeah ,anahitaji pongezi za wazi kabisa huyu jamaa ,mwenye picha yake atuwekee
Huwa namkubali MTU wa aina hii ,kazi zake ndio zinamuweka front sio wengine mpk wa force
Safi sana,big up ,kazi zake zimejieleza
George Ambangile yupo calm.Siyo Edo kumwembe mara nilikuwa Brasil,mara Sammata nilivyokwenda Ubelgiji. Mara nilivyokuwa Madrid.......
Umewatendea haki lakini.. kitenge Ni mtangazaji bora sio mchambuzi bora
Sijajua watu wanamchukuliaje Ambangile...
Kwa sasa inafaa apewe tu namba 1
Saiz wasafi fm ipo na Dodoma pia kakaNadhani ni kwa vile anasikika Dar pekee
Maoni ya wadau bwana George ndani ya nyumba1. Edger Kibwana ( Clouds FM)
2. Mwl Kashasha( TBC FM)
3. Malegesi Nyamaka ( RFA)
4. Oscar Oscar ( EFM)
5 .Mlipili ( RFA)
6. Yahya Njenge ( Clouds FM)
7. Ally Mayai ( Azam TV)
8. Ibrahimu Masoud ( EFM)
9. George Ambagile
10. Shafihi Dauda( Clouds FM)
Itakua umemskia George Ambagile. Jamaa anajuaNilisikiliza sijui station gani hafu jina sikulikamata vizuri daah jamaa anachambua balaa nadhani Kama siyo wasafi Basi Clouds ila atakuwa siyo maarufu Kama siyo Kibwana Basi atakuwa Njenje.
Niliwah kumskia Huyu jamaa kipindi yupo Magic FM nadhani. Jamaa anajua sanaa alinichambulia game kati ya Man U Vs Liverpool siku ya ijumaa J2 matokea na mchezo ulaja kama alivypchambua! Daaaah tofauti na hawa wadau wengime wanaJudge baada ya Game..Ukiacha kura za wadau, huyu jamaa ulishawahi kumsikia?
Niliwah kumskia Huyu jamaa kipindi yupo Magic FM nadhani. Jamaa anajua sanaa alinichambulia game kati ya Man U Vs Liverpool siku ya ijumaa J2 matokea na mchezo ulaja kama alivypchambua! Daaaah tofauti na hawa wadau wengime wanaJudge baada ya Game..
Mbona jina la kitenge hakuliweka unatumia miwani ya wapi?Umewatendea haki lakini.. kitenge Ni mtangazaji bora sio mchambuzi bora
Don Clericuzio Hakuna muwanzilishi wa ndondo kwenye hizi media ndondo Ni michuano ya muda mrefu wote shaffihdauda na Wasafi wameiga.Jamaa anajua, kuna siku nilimsikia anafanya uchambuzi wa mechi za ile ligi waliyoianzisha kwa kuiga Ndondo, jamaa anachambua utadhani ni ligi kubwa.