rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 18,068
- 25,737
Ndiyo maana amefungiwaHii ligi sijui wanatumia vigezo gani kuiweka ligi namba 5 kwa ubora Afrika.
Mojawapo ya adhabu ziluzotangazwa na bodi ya ligi ni adhabu ya kufungiwa shabiki wa yanga anayeandamana na benchi la ufundi.
Hivi shabiki anawezaje kukaa kwenye benchi la ufundi, ina maana mtu yoyote anaweza kukaa kwenye benchi la ufundi?
Bodi ya ligi inabidi ijitathimi kwa sababu kila siku inadhalilika.
Walipaswa kuwajibishwa wale wanaoruhusu mtu ambaye hausiki na benchi la ufundi kuwepo pale, sehemu ya washabiki inajulikanaNdiyo maana amefungiwa
Ubora wa ligi hauna mahusiano yoyote na uendeshaji wa ligi, ubora league (coefficient) hutokana na kiasi gani club za Nchi husika zimefanikiwa kwenye mashindano ya bara kama vile Caf champions league.Hii ligi sijui wanatumia vigezo gani kuiweka ligi namba 5 kwa ubora Afrika.
Mojawapo ya adhabu ziluzotangazwa na bodi ya ligi ni adhabu ya kufungiwa shabiki wa yanga anayeandamana na benchi la ufundi.
Hivi shabiki anawezaje kukaa kwenye benchi la ufundi, ina maana mtu yoyote anaweza kukaa kwenye benchi la ufundi?
Bodi ya ligi inabidi ijitathimi kwa sababu kila siku inadhalilika.
Vina mahusiano kuanzia uwekezaji, ushindani, wachezaji bora, waamuzi bora.Ubora wa ligi hauna mahusiano yoyote na uendeshaji wa ligi, ubora league (coefficient) hutokana na kiasi gani club za Nchi husika zimefanikiwa kwenye mashindano ya bara kama vile Caf champions league.
Ligi ya Spain ina drama kushinda hata hii yetu na ni Katika ligi Bora zaidi Duniani. Mambo ya kipuuzi kama hayo yapo kote Duniani.
Umesoma ukaelewa madaUlitaka Mchawi wenu aendelee kuruhusiwa kuambatana na technical bench? Maana mlikuwa mnamwamini kuliko Kocha Pedro.
mimi nilisha acha.kuangaliaHii ligi sijui wanatumia vigezo gani kuiweka ligi namba 5 kwa ubora Afrika.
Mojawapo ya adhabu ziluzotangazwa na bodi ya ligi ni adhabu ya kufungiwa shabiki wa yanga anayeandamana na benchi la ufundi.
Hivi shabiki anawezaje kukaa kwenye benchi la ufundi, ina maana mtu yoyote anaweza kukaa kwenye benchi la ufundi?
Bodi ya ligi inabidi ijitathimi kwa sababu kila siku inadhalilika.
Hata kwenye biblia adhabu ya wachawi ni kuuawa hawa ndio wanasababisha makocha wasionekane muhimu.mtu kasha pewa adhabu bado unalalamika unataka auwawe au?
Lete ushahidi kwamba ligi Bora wanaangalia hayo uliyosema.Vina mahusiano kuanzia uwekezaji, ushindani, wachezaji bora, waamuzi bora.
Kwahio TFF wafate Sheria za Bible?Hata kwenye biblia adhabu ya wachawi ni kuuawa hawa ndio wanasababisha makocha wasionekane muhimu.
Na mtaendelea kupoteza sababu imani kubwa mmewekeza kwenye tunguri.Kwahio TFF wafate Sheria za Bible?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bado mnafuatilia hiyo league yenu ya vichekesho Hiyo league Ina vituko balaa mwaka Jana Simba na yanga walikuwa wana bebwa mpaka wakapitiliza yaani mpaka upendeleo wao uliibuka kuwa Hoja bungeni Aiseee. Mimi siwezi kutazama vile vituko