jonas amos JF-Expert Member Joined Jul 4, 2016 Posts 3,648 Reaction score 4,452 Sep 4, 2022 #21 Kwa uongo wako mwanaume mwenzangu kwamba jana Uganda wangefungwa na taifa stars ndo ligue ingekuwa imepanda?
Kwa uongo wako mwanaume mwenzangu kwamba jana Uganda wangefungwa na taifa stars ndo ligue ingekuwa imepanda?
44mg44 JF-Expert Member Joined Jun 16, 2019 Posts 2,159 Reaction score 2,189 Sep 4, 2022 Thread starter #22 jonas amos said: Kufungwa kwa timu ya ligi nbc inahusikaje? Mi nadhani ligue yetu imekuwa sana na inakua sana vigezo vingi mfano uwekezaji wa timu Uwekezaji wa wadhamini ambapo wameongezek zaid Sajir za kimataifa Click to expand... Nmezungumzia ubora wa lig na si kukua kwa lig,Soma uz vzr mkuu haraf ndo ucomment
jonas amos said: Kufungwa kwa timu ya ligi nbc inahusikaje? Mi nadhani ligue yetu imekuwa sana na inakua sana vigezo vingi mfano uwekezaji wa timu Uwekezaji wa wadhamini ambapo wameongezek zaid Sajir za kimataifa Click to expand... Nmezungumzia ubora wa lig na si kukua kwa lig,Soma uz vzr mkuu haraf ndo ucomment
44mg44 JF-Expert Member Joined Jun 16, 2019 Posts 2,159 Reaction score 2,189 Sep 4, 2022 Thread starter #23 jonas amos said: Kwa uongo wako mwanaume mwenzangu kwamba jana Uganda wangefungwa na taifa stars ndo ligue ingekuwa imepanda? Click to expand... Exactly
jonas amos said: Kwa uongo wako mwanaume mwenzangu kwamba jana Uganda wangefungwa na taifa stars ndo ligue ingekuwa imepanda? Click to expand... Exactly