Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,490
- 2,104
Wanafiki wameshikia bango mechi ya simba na Ruvu...
Kwani hii ndo mechi ya mwisho kwa phiri kama ndivyo basi vijana wa masagwile wanaweza kumkomoa phiri.
huyo masau bwire wakikwao..Mkuu hilo jina umedhamiria au? kama hujadhamiria jina lake ni Masau Bwire.
Aisee ungwe hii pili vipi unaionaje mkuu Masuke
Kwani hii ndo mechi ya mwisho kwa phiri kama ndivyo basi vijana wa masagwile wanaweza kumkomoa phiri.
Mkuu mimi siangalii hii mechi, nafuatilia updates za Makoye Matale kwa hiyo siwezi kutoa tathmini yoyote.
Simba mpo salama kweli. Leo mtatoka sare ya 0 hapa mnaonaje wazee wa sare. Simba wote kimyaaaaaaaaaaaa shiiiiiiiiiiiii
I feel blessed to hear that my updates are useful to some JF Members.
Simba sare leo tena hamtaepuka hili. Mpaka mkaongee nao vizuri simba ukawa, mnalo hili.
Phiri ajiandae kurudi kwao, simba zigo la misumari.
Hivi Bantu lady wewe kwanini unaikimbia simba?
Hivi Bantu lady wewe kwanini unaikimbia simba?
unaonaje simba wanaonesha uhai ama yale yale ya ukawa..Kipindi cha pili kimeanza. Simba 0-0 Ruvu Shooting.
ok we heard you ila uwe mvumilivu kama shabiki wa mccfcAaaa mtani Ruttashobolwa sijawahi ipenda hiyo timu. Huwa siwaelewi wanaoipenda kwa kweli.
Mimi ni Yanga damu huniambii kitu, mapenzi yote kwa YANGA.
unaonaje simba wanaonesha uhai ama yale yale ya ukawa..