Ligi Kuu Uingereza 2014/2015

lukuart

Member
Joined
Jul 27, 2014
Posts
26
Reaction score
5


 

 

Attachments

  • Untitled.jpg
    40.6 KB · Views: 2,713
MAN CITY, UNITED, CHELSEA & ARSENAL are EPL contenders but LIVERPOOL is the EPL champion
 
Watu wote Mguuuuu Sawaaaaaaaaaaaa!!!
Jogoo anapita huyooo!
 
Leo Manchester United itakaa kileleni kwa kishindo
 
ONE HOUR TO GO Louis van Gaal has arrived at Old Trafford before taking charge of his first #BPL match #BPLkickoff
 
Premier League status: ONE HOUR to go. Arsรจne's little bit excited.

 
UNITED: De Gea; Jones, Smalling, Blackett; Lingard, Fletcher, Herrera, Young; Mata; Rooney (c), Hernandez

subs: Amos, James, M Keane, Fellaini, Kagawa, Nani, Januzaj
 
Ikiwa leo ndio ufunguzi wenyewe wa ligi kuu ya England, najaribu kuitazama timu niipendayo ya Manchester United siioni kama kweli inania thabiti ya kuingia Top 4 achilia mbali kuchukua ubingwa. Sababu ya kusema hivi ni aina ya wachezaji ilionao hasa katika idara ya ulinzi. Pia kuwa na wachezaji wengi vijana ambao ndio kwanza wanaanza kupata airtime katika mashindano makubwa. Mfano Adnan Januzaj, Lingard,n.k HIVYO WASHABIKI WENZANGU WA MAN UNITED BADO TUNASAFARI NDEFU KUFIKIA KILELE CHA MAFANIKIO.
 
Big games fixtures:
11.00 jion- Chelsea v Leicester city
1.30 ucku- Everton v Arsenal
 
yan najua man u lazima apgwe tena sasa akishnda naacha kaz wale paka weusi ni nomer sana
 
yan najua man u lazima apgwe tena sasa akishnda naacha kaz wale paka weusi ni nomer sana

mimi nimependa hiyo avatar yako mkuu!!!! tukubaliane ,man u akishinda unanipa namba zao?? uko tayari???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ