Ndo mikia ijifunze ustaarabu toka duniani ikisikia watani wa jadi basi kwao wanaona ndio muda wa kuifanyia tathmini timu yao huku wakitanguliza uhasama badala ya fair play, bure kabisa.
Unatuliza gozi la ng'ombe kifuani kisha uazunguka nalo nyuzi 180 na kuwalamba chenga mabeki 3, then unachambua kama jaranga kipa kwa kumpeleka marikiti na kutumbukiza kitu nyavuni na kuwaacha 'mambulumundu' wakilia lia ohoooo offside, ohooo ameunawa!
Goli Zuri zaidi ni la Kichuya, sababu kabla yakufunga alishika mpira kwa mikono yote miwili kisha akapiga nakufunga! Tofauti na lile alofunga tambwe ambae alishika mpira kwa mkono mmoja tu halafu akapiga nakufunga!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.