Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 119,505
- 222,903
- Thread starter
- #261
Tambwe avunja rekodi ya Maradona , atumia mkono na miguu kufunga goli moja .
Refa kaharibu kabisa mpira wa leoTZ HAKUNA MPIRA AISEEEEEEEE MPIRA UMEINGILIWA NA SIASA
Kumbe ndicho mlichokuwa mnakitaka?
Mpira unaendelea,hakuna kuvunjika.
Na gharama lazima mlipe.
Vimilia mkuuDaah hapa sijui nasubiri nini
RADHA YA MPIRA IMEKUFA KABISA MPIRA UMEINGILIWA NA SIASA
Bado unalia tu?Goli la mkono kabisa
Hahahaah ndio mkuumaisha yake yote
Watani mna wahuni wengi angalia sasa mnang'oa vitiInatakiwa vijana watulie, mechi ya Leo ni sare