Kosa la ref ni lipi?Bora mechi ivurugwe tu isiendelee,huu upumbavu kaleta refa
Acha siasa utaharubu threadMbona kuna mabomu! au sababu Mbowe yupo ndani uwanjani!
computerUnatumia device gani
Karuhusu bao la mkonoImekuwaje kwani refa amefanya nini?
Lazima mpigwe faini.Viti vimeanza vimeng'olewa
Daah ndo basi tena
Wa kimataifa 1-0 matopeniNaombeni kujuzwa ngapi ngapi maana naona shangwe mitaani.