OSOKONI
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 10,965
- 5,336
Leo chura anakula mingi sanayeboyebo 0-1 Sgd
Leo chura anakula mingi sanayeboyebo 0-1 Sgd
Labda maana Yanga ni malinzi fcAu Simba inaihujumu Yanga kwa kuzihonga timu zingine?
Itakuwa vema ikiwa hivyoLeo chura anakula mingi sana
Basi leo wasipozipata pointi tatu, huyo kipa analo kwa Akilimali, maana alishawahi kumponda kipindi fulaniYANGA KIPA KAWACHOMESHA
Amekaa sana chini sasa sehemu inayogusana na kiti inamuwashaUchochezi mkuu
Yule mzee wa hovyo sanawapi Akilimali?
maana alikuwa kimbelembele kumpiga vita kibosile Manji!!