Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,809
- 140,803
Waamuzi wanachanganyana hapa
Uwanja mbovu,wakali wangu wanashindwa kupiga one two
Youngsharo&bantulady mambo ya kuitana mikia sio ukuuu huo,btw mnakalia leo na kesho mtibwa watawafanya
Namna gani hapa Surunkuma..anapiga nje
ukitaka kuongea na Bantulady pata ruhusu kwanza kwa Komeo la Chuma.jamaa amempakata kusuko julikanaEti Bantu lady Simba hana mkia?
jiwanja la Ccm mafisadi bovu banaKu nan tanga jaman
Serunkumaaa...kona kwenda lango la Costa,Banda anamgasi-gasi Okwi hapa...konaaa goli kiki