Ligi Daraja la Tatu Ngazi ya Mkoa

Ligi Daraja la Tatu Ngazi ya Mkoa

sikonge michezo

New Member
Joined
Dec 24, 2017
Posts
1
Reaction score
0
Huku Wilayani Sikonge kunafanyika Ligi ya Daraja la Tatu. Ambapo Timu Kutoka Urambo, Kaliua na Sikonge Zitashiriki michuani hii Hapa Wilayani Sikonge.

Kuna jumla la Timu 4 zikatazoshiriki.
Kuna.
1. Hotstone Fc
2.Utumishi Fc
3.Kaliua Fc
4.Stand Fc

Na. matokeo ya mechi ya jana areh 24/12/2017 kati ya Utumishi na Majengo ni Sale.

Majengo 0-0 Utumishi
642ffb58b6744538d4f6d5770d01e1a2.jpg
 
Back
Top Bottom