Inaweza kuwa inaangaliwa sana kwa sababu ya accessibility yake na sio demand, inaweza kuwa kwa sababu ya Promo nyingi na sio demand na bado wanaosema kuwa EPL ndio inawatazamaji wengi wanaweza kuwa ni watu wa promo tu.
Which is your Favorite League
Which is your Favorite League
Five Best Soccer Leagues in the World
1238 people have voted in this poll.
- 46% English Premier League
- 7% Serie A
- 20% La Liga
- 12% Bundesliga
- 8% Major League Soccer
- 7% Other (Comment!)
Which soccer league do you think is the best in the world? - Soccer - Fanpop
Inaweza kuwa inaangaliwa sana kwa sababu ya accessibility yake na sio demand, inaweza kuwa kwa sababu ya Promo nyingi na sio demand na bado wanaosema kuwa EPL ndio inawatazamaji wengi wanaweza kuwa ni watu wa promo tu.
Which is your Favorite League
Which is your Favorite League
Five Best Soccer Leagues in the World
1238 people have voted in this poll.
- 46% English Premier League
- 7% Serie A
- 20% La Liga
- 12% Bundesliga
- 8% Major League Soccer
- 7% Other (Comment!)
Which soccer league do you think is the best in the world? - Soccer - Fanpop
Bidhaa yako siku zote hupenda kuwa bora kuliko bidhaa nyingine ya competitor wako ili uongeze mapato yako na hatimaye kuongeza faida kubwa. Hivi mnadhani hizo league nyingine hazipendi kuchukua nafasi ya EPL ili ziwe zinaangaliwa na wapenzi wa kandanda duniani kuliko EPL na pia kuwa more profitable than EPL!? Wangependa sana kuwapiku EPL kwenye kila kitu lakini makampuni ya biashara yameshatumia wataalamu wao katika kuamua ni wapi ambapo pesa zao wanazolipa kwa matangazo zitawaingizia mapato makubwa na hatimaye faida kubwa katika league mbali mbali duniani. Mimi hapa nina access na league zote hizo na mara nyingi naziangalia lakini kandanda bora huchezwa EPL na si huko kwingine. Mnadhani hizo leagues nyingine hazipendi kuwa na access kubwa duniani kama ya EPL au hata zaidi!? Wangependa sana iwe hivyo lakini bado leagues hizo kwa sasa hazijakonga nyoyo za wapenzi wa kandanda duniani mara tu watakapoweza kufanya hivyo basi labda accessibility ya ligi hizo inaweza kuwa at par with EPL au hata zaidi. Kwa sasa bado Baba yao ni EPL.
Good day 🙂🙂
Inaweza kuwa inaangaliwa sana kwa sababu ya accessibility yake na sio demand, inaweza kuwa kwa sababu ya Promo nyingi na sio demand na bado wanaosema kuwa EPL ndio inawatazamaji wengi wanaweza kuwa ni watu wa promo tu.
epl promo ni kubwa kuliko hali halisi na hii inachangiwa zaidi na media zao, tatizo wanajiona bora kwa kila kitu.
angalia hata wachezaji wao wanavyorembwa kwenye media...
Wolcott akifunga hatitriki watamwandika wiki mzima, Chamberlain akikabana na Iniesta watasema ndio kiungo bora duniani
Balle akikimbizana na Ramos watasema ndio winga bora duniani.
na huu ujinga wamefanikiwa kuuaminisha sehemu kubwa duniani hata Sie ni sehemu ya mateka wa epl
na nafikiri epl ipo kibiashara zaidi kuliko uhalisia...
angalia uwezo Suarez je angekua mzawa kila siku tungekua tunamsoma yeye tu.
nguvu ya media ndio inayofanya soka uk lionekane liko juu.
niliangalia Chelsea alivyopigwa na A.Madrid nikachoka.!!!
Ili uchambuzi wako ukamilike ungechambua kabisa na uchumi wa nchi husika, manake naona umebase kwenye mambo ambayo yanamsingi kwenye pesa na sio soccer.
Spain hawezi kushindana na Muingereza kwenye uchumi, ila kwenye soccer atamuadabisha kama kawa.
Ligi ya Somalia ndio kali kuliko
Hata wachezaji wao kucheza nje ya England ni ishu, na wanaoipa mvuto hiyo EPL ni foreigners ambao kina Garry Neville wanalalamika kila cku kuwa ndio sababu ya kitim chao cha Taifa kuwa na kiwango kibovu. Michu akiwa Spain ni ---- tu, kaja EPL kawa dhahabu
Uchumi wa nchi hauhusiki kwenye hili, Serikali ya UK haitoi hata senti moja katika kuhakikisha EPL inakuwa bora kuliko ligi yoyote ile duniani na hivyo kuangaliwa na wapenzi wengi wa kandanda duniani na pia kuvutia matangazo mengi ya biashara kuliko ligi yoyote ile duniani. By the way uchumi wa Germany unafanya vizuri kuliko ule wa UK.
Sio Mich tu
hata Santi Carzola,au Silva wa Man City..ni mastaa England kwao hawapati namba timu ya taifa..
Torres hata asipocheza timu ya taifa hakuna pengo
UK hamna kitu ndio maana wakiishiwaga habari wanaanza kuripoti vituko vya kocha wa sandalend.
ilimradi kuipa chat ligi Yao.!!!
Unafikiria kwa mafupi mkuu, think again!
wajinga wale
wenyewe watakwambia Gareth Bale ni bora kuliko Lewondosky lol
Wewe ndio wa kufikiria tena si mimi. Usiwadharau wapenzi wa soka duniani kwa uamuzi wao wa kuiangalia zaidi EPL kuliko ligi nyingine yoyote duniani, usidharau makampuni ya biashara yaliyoamua kumwaga pesa chungu nzima EPL kuliko ligi yoyote ile duniani. Huo ni ushahidi tosha kwamba katika hizi bidhaa toka UK, Italy, Germany na Spain kwa sasa bidhaa ambayo ni bora zaidi ni ya kutoka UK. Mengine yote hayahusu kitu.
kama ni dharau kwa epl basi wanaoongoza ni UEFA..
Maana wanatoa kikosi bora cha UEFA bila mchezaji hata mmoja wa epl, wakati epl ndio wanaoongoza kwa umaarufu na biashara.!!!!!!
Issue siyo ligi ipi inatoa wachezaji wangapi kuchezea timu ya UEFA.