Huyu jamaa alikua ana uamuzi wa uchumi mikononi mwake na alikua anachill na wanae.
Wewe ndo umeelewa.... Maana wengine wote wanaliita hili pool table.... Hii ni snooker mchezo flani wa kuheshima sana.Snooker na pool table iko tofauti
Acha amchekee jk huwa afanyi makosa na totoz