Huyu ana usafiri si gariTumejua una gari..na unatoa lift
Na kweli...tena noahHuyu ana usafiri si gari
Haha wew mkorofTumejua una gari..na unatoa lift
[emoji23] [emoji23]...nasubiri povu[emoji36] [emoji36]Haha wew mkorof
Haaahaa...kwamba huyo uber?naona uber mmelizika kudadeki
Tushajua una gari..Jamani poleni na majukumu, nikifika kituoni huwa nasimamisha gari, unaona wanaume wanakimbilia, huwa nashusha kioo na kuwaambia nabeba wanawake na watoto tu, jamaa huwa wanalaani kweli, tatizo ukimpa mwanaume lift hachelewi kushuka na begi lako la laptop. Wanaume tubadilike, tunawaponza na wasiohusika.
Itakuwa i.s.tHuyu ana usafiri si gari
Nao aringe..Na kweli...tena noah