Lifespan ya ndege ya biashara ni miaka mingapi?

futa hio kauli yako ya mwisho kwanza, hili jukwaa ni la watu makini na walio serious ktk kujadili hoja, hio kauli ya mwisho inaonesha km unaleta utani jukwaani, hao shemeji na wifi zako ni kina nani?
 
Ni miaka 25 mpaka 30, kama inafanyiwa matengezo ya mara kwa mara (preventive and predictive maintenance)
 
mhhh meli ndio usiseme, hiyo liemba ina zaidi ya kalne moja huko tanganyika kigoma.

pamoja na utunzaji wetu wa mashaka.
Heri ninunue meli kama ni ivyo kuliko ndege maana mpaka kilembwekeza ataikuta....daah ukisikia chuma cha pua ndio kile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…