Life Jackets zinatumika ipasavyo ndani ya Ndege, Meli au Boti?

Life Jackets zinatumika ipasavyo ndani ya Ndege, Meli au Boti?

lukelo sakafu nadhani itakubidi kama upo dar-es-salaam au kilimanjaro nakushauri uende ukatembele kwenye karakana za ufundi wa ndege kwenye viwanja vya ndege vya hiyo mji utapata elimu tosha kuhusu hizo life jacket iwapo hujaridhika na majibu ya humu kwenye jamvi.

Nasisitiza kuwa life jacket haimwezeshi binadamu kuelea angani

are you sure boss?
 
Labda tuchukulie mfano........kutoka Dar kwenda Mbeya........au Dar-Kia.........life jacket hapo linanisaidiaje.........?......unless otherwise litageuga parachute................

Dar - KIAa atatua bwawa la Nyumba ya Mungu na huko life jacket zitasaidia. Dar - Mbeya atahitaji kutua ihefu mto Ruaha life jacket itasaidia!!!
 
are you sure boss?

Lukelo sakafu sure of what? floating on air with life jacket, that's totally not possible. visiting aircraft hangar at the places i mentioned, for sure you can do so.
BTW umesoma bandiko la Faiza Foxy?
 
Lukelo sakafu sure of what? floating on air with life jacket, that's totally not possible. visiting aircraft hangar at the places i mentioned, for sure you can do so.
BTW umesoma bandiko la Faiza Foxy?

nimekupata
 
Kwenye ndege maelekezo ya matumizi ya life jacket ni mazuri kwa kweli.Halafu mkuu life jackets za kwenye ndege hupai mwenzangu usije ukajirusha hewani hio ni suicide commission lol.Zile life jackets za kwenye ndege matumizi yake tu ikiwa ndege imetua majini na zina taa inayomulika ili kukitokea ajali ni rahisi kuonekana majini ili upate msaada.Wale unaowaona wanapaa kama na parachutes ni ndege za kijeshi/kivita.Na pia kuna watu wanaosky dive lakini ni kama pendekezo(hobby) sio life saving procedure.Tukienda kwenye meli au boats hakuna maelezo kabisa hata sehem zilizipo life jackets haijulikani ni wapi ila yale maring ya kuelea juu ya maji yanaonekana but yet hakuna maelekezo yoyote kwamba unafanya nn kukitokea ajali yaani EXITS mpaka uzitafute mwenyewe kwa wasojua kuogelea wafa huku wajiona wallah!
 
Sababu ya wapendwa wetu kupoteza maisha wakati life jacket zipo ni hizi
1.meli zetu huwa zinajaza abiria kupita kiasi hivyo wakati wa dharura taharuki inakuwa kubwa hivyo hata wahudumu inakuwa shida kutoa msaada.
2.Maboya huwa yanafungiwa hivyo kwenye dharura si kazi rahisi kuanza kutafuta funguo ipo wapi.
3.Manahodha huchelewa kutoa uamuzi kwa abiria kuwa kuna dharura hivyo wajiandae kujitosa majini.
 
Life jacket za kwenye ndege hazikuwezeshi kuelea hewani, zinakusaidia kuelea kwenye maji.
Nimeona tangazo hili la zoezi life jackets kwenye mitandao naomba niliweke hapa mwenye muda anaweza kuhudhuria kupata elimu zaidi
a975575874976a97adbc40c70de7115b.jpg
1ccc5763ddab3cc4e5076caea5f2a334.jpg

7829cab5eae915ab7154c4c956b80159.jpg
 
Back
Top Bottom