Life isn't fair

Amenn

JF-Expert Member
Dec 21, 2015
321
422
349508c851dc88f9e88689ed1d534df2.jpg
 
Tafsiri isiyo rasmi....
""Kuna watu wanakula chakula wapendacho na wana mwonekano mzuri, mimi nakula cookies na bado naongezeka uzito (3 pounds). Life is not fair""
 
Maisha hayapo hapa ili kuwa fair,na hayatakuwa hata hivyo.
kustruggle hakuendani na mafanikio hivi sasa,bahati inacheza part kubwa than kuhangaika sana,inauma.
 
Kuna jamaa hapa mtaani kwetu ngarenaro huwa anachimba mashimo ya choo na taka jamaa anakula ugali ndoo nzima.kuna siku karudi nyumbani kakuta unga wa ugali umebaki nusu ndoo kubwa akakasirika akamwita mke eti huo unga ampikie uji tu maana ugali haumtoshi.jamaa ni mwembamba diamond mnene ila akifika harusini au msibani ni sinia 3 na ndoo ya chips anakula mwenyewe akimaliza anashushia na koka bonge!amini usiamini ndo ukweli
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom