Kimbweka JF-Expert Member Joined Jul 16, 2009 Posts 8,597 Reaction score 1,692 Jan 4, 2012 #1 Duh jamaa kakomaa hivyo hivyo mpaka mambo ya ujenzi yaeleweke.....
Smile JF-Expert Member Joined Jul 18, 2011 Posts 15,347 Reaction score 11,628 Jan 4, 2012 #2 wanaume tumeumbwa matesoo ohoo mateso kuhangaika
Ringo Edmund JF-Expert Member Joined May 10, 2010 Posts 4,879 Reaction score 1,134 Jan 4, 2012 #3 maisha bora kwa kila mtanzania. wakati ghadafi akijengea wananchi wake nyumba kikwete ameachia wananchi wajiju.
maisha bora kwa kila mtanzania. wakati ghadafi akijengea wananchi wake nyumba kikwete ameachia wananchi wajiju.
Bourgeoisie JF-Expert Member Joined Mar 26, 2009 Posts 656 Reaction score 162 Jan 4, 2012 #4 Ringo Edmund said: maisha bora kwa kila mtanzania. wakati ghadafi akijengea wananchi wake nyumba kikwete ameachia wananchi wajiju. Click to expand... Kwa sera za Freemasons Ghadafi alikengeuka!
Ringo Edmund said: maisha bora kwa kila mtanzania. wakati ghadafi akijengea wananchi wake nyumba kikwete ameachia wananchi wajiju. Click to expand... Kwa sera za Freemasons Ghadafi alikengeuka!
Angel Nylon JF-Expert Member Joined Jul 26, 2011 Posts 10,697 Reaction score 23,293 Jan 4, 2012 #5 kweli shida mama wa uvumbuzi
afrodenzi Platinum Member Joined Nov 1, 2010 Posts 18,153 Reaction score 9,271 Jan 4, 2012 #6 Hii dunia hii , hapana wengine hata tofali hawajui ni nini wengine bila tofali hakuna kitu tumboni. World is not fair .......
Hii dunia hii , hapana wengine hata tofali hawajui ni nini wengine bila tofali hakuna kitu tumboni. World is not fair .......
MadameX JF-Expert Member Joined Dec 27, 2009 Posts 7,792 Reaction score 3,860 Jan 4, 2012 #7 Kazi nzito kama hiyo pesa yaishia bar au kuhonga changudoa
afrodenzi Platinum Member Joined Nov 1, 2010 Posts 18,153 Reaction score 9,271 Jan 4, 2012 #8 MadameX said: Kazi nzito kama hiyo pesa yaishia bar au kuhonga changudoa Click to expand... we ulitaka aifanyie nini ?
MadameX said: Kazi nzito kama hiyo pesa yaishia bar au kuhonga changudoa Click to expand... we ulitaka aifanyie nini ?
Nduka Original JF-Expert Member Joined Nov 6, 2010 Posts 1,012 Reaction score 817 Jan 4, 2012 #9 Halafu akimaliza kabanda kake Magufuli anakuja anakapiga chini eti kako kwenye road reserve na hakuna fidia. Kudadadeki ataua mtu!!!
Halafu akimaliza kabanda kake Magufuli anakuja anakapiga chini eti kako kwenye road reserve na hakuna fidia. Kudadadeki ataua mtu!!!