khalisai Joseph
Member
- May 12, 2017
- 38
- 14
Habari zenu, wakuu.
Ni matumaini yetu ya kwamba,wote ni wazima wa afya na mnaendelea vizuri na shughuri zenu za kila
siku.Tunapenda kuwajuza habari njema,kutoka vanillah Ltd,iliyoundwa na vijana wenu wa kiafrika,wanaojishughurisha na shughuri za mapambo na kutoa huduma za vyakula (decoration and catering services), katika shughuri mbalimbali za harusi,send off, kitchen party, kipaimara, komunio, mikutano,misiba n.k.
Tunapenda kutoa fursa kwa jamii, inayotuzunguka.kwamba,mtu yeyote yule,atakayeweza kutupatia au kutuunganisha na shughuri hizo zilizotajwa hapo juu.Basi atakuwa amefanikiwa kujipatia zawadi nono ya fedha taslim,yenye kiwango cha asilimia 10% ya malipo ya shughuri husika.
Kinachotakiwa kufanyika, ni kunyanyua simu yako,kisha piga simu namba 0762962872 au 0718385831,tupatie maelezo ya kazi na hapo hapo utapewa utaratibu wa kupewa zawadi yako.
UNANGOJA NINI, FURSA IPO MLANGONI KWAKO.
Sent from my A8 using JamiiForums mobile app