Tetesi: Life Between Sewage and Survival in Mathare 4A

OwadeKuya

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2026
Posts
414
Reaction score
259

Hii ni njia yenye watu wanapitia kila siku kwenda nyumba zao lakini imegeuka sewage line. Maji machafu zinapita katikati ya nyumba, watoto wanacheza hapo karibu na wengine bado wanatumia hiyo njia daily juu hakuna option ingine.
Imagine kuweka mtungi ya maji safi steps chache kutoka kwa sewage
Nairobi bado kuna places watu wanaishi hivi in 2026 while viongozi wako busy speeches na politics. Hii si story ya aesthetics ama “slum life”, hii ni health risk kubwa — cholera, typhoid, skin infections na mosquitoes zote ziko hapo.
Mathare 4A residents wanabreathe harufu ya sewage every day kama normal life. Swali ni, serikali na county wanangoja mpaka watu waanze kuugua ndio action ichukuliwe?
 

Attachments

  • 20260506_165802.jpg
    996.4 KB · Views: 23
  • 20260506_165847.jpg
    875.8 KB · Views: 23

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…